Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #81 Anyisile Obheli said: huyu refa atakuwa na kadi ya ccm huyu ana kila dalili ya ufisadi Click to expand... teh teh..
Anyisile Obheli said: huyu refa atakuwa na kadi ya ccm huyu ana kila dalili ya ufisadi Click to expand... teh teh..
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #82 Lol Dk ya 70 Algeria 1 Tanzania 1. Tuombe Mungu japo tutoe draw
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #83 Lukolo said: Nasikia hawana utaratibu wa kufungwa nyumbani. Labda watanzania tuwe wa kwanza kuvunja huo mwiko. Click to expand... Walifungwa na Gabon hapo kwao!!
Lukolo said: Nasikia hawana utaratibu wa kufungwa nyumbani. Labda watanzania tuwe wa kwanza kuvunja huo mwiko. Click to expand... Walifungwa na Gabon hapo kwao!!
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #84 Yes, Danny anatoka ni kweli alionyesha kucho sana...
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Sep 4, 2010 #85 Lukolo said: Lol Dk ya 70 Algeria 1 Tanzania 1. Tuombe Mungu japo tutoe draw Click to expand... hili neno mkuu
Lukolo said: Lol Dk ya 70 Algeria 1 Tanzania 1. Tuombe Mungu japo tutoe draw Click to expand... hili neno mkuu
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,196 Reaction score 18,224 Sep 4, 2010 #86 senator said: Acid huko ulipo ndo kumekucha nini?! au mtandao nao mashaka!! hapo bolded unamaanisha draw au? Click to expand... senator... u have made my day, huku saa hii usiku ndo natoka chadibwa... dronu si ndio droo aisee, umesahahu chandimu?
senator said: Acid huko ulipo ndo kumekucha nini?! au mtandao nao mashaka!! hapo bolded unamaanisha draw au? Click to expand... senator... u have made my day, huku saa hii usiku ndo natoka chadibwa... dronu si ndio droo aisee, umesahahu chandimu?
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Sep 4, 2010 #87 asante golikipa wangu
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Sep 4, 2010 #88 Asante kado.....
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #89 senator said: Lukolo hata ibilisi anaweza kukutia nguvu be specific Click to expand... Mkuu hiyo ni kauli ya Paul mtume kwa hiyo nimenukuu tu. Ninaamini alikuwa anamaanisha Mungu.
senator said: Lukolo hata ibilisi anaweza kukutia nguvu be specific Click to expand... Mkuu hiyo ni kauli ya Paul mtume kwa hiyo nimenukuu tu. Ninaamini alikuwa anamaanisha Mungu.
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #90 Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga
Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #91 Hii one touch pass wanayoitumia waarabu inaweza kutumaliza kabisa
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Sep 4, 2010 #92 Mungu ibariki Tanzania...
Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,402 Reaction score 320 Sep 4, 2010 #93 Lukolo said: Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga Click to expand... Lukolo nadhani golikipa atakuwa ni mzuri mpira ukiisha
Lukolo said: Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga Click to expand... Lukolo nadhani golikipa atakuwa ni mzuri mpira ukiisha
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #94 dakika ya 80 hapa bado ngoma ipo nare nare...ila starz wametulia na wacheza kama timu...namsifu nyanda kwa juhudi zake..
dakika ya 80 hapa bado ngoma ipo nare nare...ila starz wametulia na wacheza kama timu...namsifu nyanda kwa juhudi zake..
G Gloria Member Joined Apr 5, 2007 Posts 60 Reaction score 20 Sep 4, 2010 #95 senator said: haya haya tunaanza ngwe ya pili hapa siju draw halali yetu au twaweza kula zabibu?! Click to expand... Halafu waarabu kwa penati za dezo hao ndio zao wawe makini wachezaji wetu
senator said: haya haya tunaanza ngwe ya pili hapa siju draw halali yetu au twaweza kula zabibu?! Click to expand... Halafu waarabu kwa penati za dezo hao ndio zao wawe makini wachezaji wetu
M matambo JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 727 Reaction score 118 Sep 4, 2010 #96 Tanzania haijapiga kona yoyote hadi sasa dakika ya 80 watangazaji wanatoa wasifu wa ngassa kuwa anchezea azm ila alikuwa yanga, mji mkuu wetu ni dodoma na ndo kunapatikana mlima kilimanjaro asanteni kwa kutuendelezea utalii
Tanzania haijapiga kona yoyote hadi sasa dakika ya 80 watangazaji wanatoa wasifu wa ngassa kuwa anchezea azm ila alikuwa yanga, mji mkuu wetu ni dodoma na ndo kunapatikana mlima kilimanjaro asanteni kwa kutuendelezea utalii
Lukolo JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 5,143 Reaction score 3,209 Sep 4, 2010 #97 hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea
hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 68 Sep 4, 2010 #98 ngumi hapa hivi wanaelewana kweli?/
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,196 Reaction score 18,224 Sep 4, 2010 #99 wrabu wamechemsha sasa wanaanza ugomvi, ingekua mbongo pale red card
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,196 Reaction score 18,224 Sep 4, 2010 #100 Lukolo said: hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea Click to expand... huyu refarii naona ni daffy duck!!
Lukolo said: hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea Click to expand... huyu refarii naona ni daffy duck!!