Alfonce Lusako: Watanzania nimeonewa, bado nina ndoto ya kusoma

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
*#NishikeMkonoKatikaSafariYanguYaChuo*

Mficha maradhi kifo humuumbua, huu ni msemo es-tu. Naam msemo wa kiswahili. Siku niliyopokea barua ya kukatishà masomo yangu kwa mara ya pili katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) Pamoja na pole nilizopewa kutoka kwa watu mbalimbali, ni uongo na dhambi kubwa kama nitasema nipo sawa. Siko sawa ndugu zangu.

Moyo wangu umejaa majeraha na uchungu mkubwa wa manyanyaso ya kubaguliwa kupata Elimu katika nchi yangu. Katika taasisi iliyojengwa na kodi za Wavujajasho na rasilimali za taifa hili.

[HASHTAG]#Ndoto[/HASHTAG] yangu ya kuwa Mwanasheria Imepepeswa.

Najiuliza, kwanini ninyimwe haki ya kusoma katika vyuo vya umma.?

Hata kama ilikuwa ni kosa mwaka 2011 kuwatetea watoto wa masikini kama mimi kupata mikopo na kupigia kelele udhalimu wa bodi ya mikopo wa kupoka fedha za masikini kupitia majina hewa, mbona nimeshatumikia adhabu ya kukaa nje ya chuo mika 6 ( deterrence theory).

Adhabu hii licha ya kutokuwa halali, ni adhabu kubwa sana inayozidi hata kipimo cha sheria ya udahili kifungu cha 43(1) kinachotaka mwanafunzi aliyefukuzwa kuruhusiwa kuendelea na masomo yake baada ya miaka 2 kupita. Uongozi wa UDSM umekataa kuniruhusu niendelee na masomo yangu.

Nimeumia sana kuona haki yangu ya kupata elimu ya juu ikifungwa na wenye funguo bila kujali, wasinioneshe funguo licha ya jitihada za zaidi ya miaka mitano kuipigania haki hiyo kwa njia za kidiplomasia na kisheria (mahakamani).

Sitakiwi kusoma kwenye vyuo vya umma Tanzania.

Licha ya kuwa na matumaini ya kupata haki yangu ya kupata elimu, nguvu yangu hasa ya kiuchumi imekuwa ndogo kwani vyuo vya binafsi ni gharama kumbwa kidogo. Nahitaji kiasi cha million 7.6 kuwa na uhakika wa kupata elimu yangu.

kama mdau wa elimu, mtetezi dhidi ya uonevu, udhalimu na ubaguzi... Nisaidieni kutetea ndoto yangu. Natambua ukarimu wenu watanzania. Natambua mnavyothamini elimu. Pia natambua mnavyochukia vitendo vya ukandamizaji na vile vya watu wachache kuamua maisha ya wengine kwasababu tu hawapendi mawazo yao. Nimekuja kwenu mnisaidie ndugu zangu.

Tumia njia zifuatazo kunisaidia kadri utakavyojaliwa.

MICHANGO ITUMWE:

CRDB a/c No. 0152436033400

M. Pesa: +255 765 443 728

T. Pesa: +255 718 221 535

Airtl.M: +255 683 528 675

Namba zimesajiliwa (Alphonce Lusako M.)

Shukrani.

Alphonce Lusako.
 
Pole, lakini una kibali cha ku fundraise?
 
Pole. Ila mi naona ungetaja chuo ulichochaguliwa na ada unayo daiwa na acc. ya chuo hicho ili kama mtu anakuchangia fedha iende direct chuoni. Pili, utatakiwa kuheshimu sheria na taratibu za chuo hicho. Sheria ni sheria.
 
Hii ndio faida ya kujifanya kamanda kabla ya kumaliza shule.
Pole sana nadhani michango itafika zaidi ya 7M km ya yulr aliyemtukana rais
 
*#NishikeMkonoKatikaSafariYanguYaChuo*

Mficha maradhi kifo humuumbua, huu ni msemo es-tu. Naam msemo wa kiswahili. Siku niliyopokea barua ya kukatishà masomo yangu kwa mara ya pili katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) Pamoja na pole nilizopewa kutoka kwa watu mbalimbali, ni uongo na dhambi kubwa kama nitasema nipo sawa. Siko sawa ndugu zangu.

Moyo wangu umejaa majeraha na uchungu mkubwa wa manyanyaso ya kubaguliwa kupata Elimu katika nchi yangu. Katika taasisi iliyojengwa na kodi za Wavujajasho na rasilimali za taifa hili.

[HASHTAG]#Ndoto[/HASHTAG] yangu ya kuwa Mwanasheria Imepepeswa.

Najiuliza, kwanini ninyimwe haki ya kusoma katika vyuo vya umma.?

Hata kama ilikuwa ni kosa mwaka 2011 kuwatetea watoto wa masikini kama mimi kupata mikopo na kupigia kelele udhalimu wa bodi ya mikopo wa kupoka fedha za masikini kupitia majina hewa, mbona nimeshatumikia adhabu ya kukaa nje ya chuo mika 6 ( deterrence theory).

Adhabu hii licha ya kutokuwa halali, ni adhabu kubwa sana inayozidi hata kipimo cha sheria ya udahili kifungu cha 43(1) kinachotaka mwanafunzi aliyefukuzwa kuruhusiwa kuendelea na masomo yake baada ya miaka 2 kupita. Uongozi wa UDSM umekataa kuniruhusu niendelee na masomo yangu.

Nimeumia sana kuona haki yangu ya kupata elimu ya juu ikifungwa na wenye funguo bila kujali, wasinioneshe funguo licha ya jitihada za zaidi ya miaka mitano kuipigania haki hiyo kwa njia za kidiplomasia na kisheria (mahakamani).

Sitakiwi kusoma kwenye vyuo vya umma Tanzania.

Licha ya kuwa na matumaini ya kupata haki yangu ya kupata elimu, nguvu yangu hasa ya kiuchumi imekuwa ndogo kwani vyuo vya binafsi ni gharama kumbwa kidogo. Nahitaji kiasi cha million 7.6 kuwa na uhakika wa kupata elimu yangu.

kama mdau wa elimu, mtetezi dhidi ya uonevu, udhalimu na ubaguzi... Nisaidieni kutetea ndoto yangu. Natambua ukarimu wenu watanzania. Natambua mnavyothamini elimu. Pia natambua mnavyochukia vitendo vya ukandamizaji na vile vya watu wachache kuamua maisha ya wengine kwasababu tu hawapendi mawazo yao. Nimekuja kwenu mnisaidie ndugu zangu.

Tumia njia zifuatazo kunisaidia kadri utakavyojaliwa.

MICHANGO ITUMWE:

CRDB a/c No. 0152436033400

M. Pesa: +255 765 443 728

T. Pesa: +255 718 221 535

Airtl.M: +255 683 528 675

Namba zimesajiliwa (Alphonce Lusako M.)

Shukrani.

Alphonce Lusako.
Tafuta chuo ukishapata udahili,njoo na full details za cost,watu tuone tunakusapoti vipi.
Kamwe hawajashika funguo za maisha yako,hao ni wanadamu tu,yuko Mungu aliye hai!
 
Hii ndio faida ya kujifanya kamanda kabla ya kumaliza shule.
Pole sana nadhani michango itafika zaidi ya 7M km ya yulr aliyemtukana rais
Kwani kupigania haki yako ni dhambi?Mbona mwaka huu wapo watoto wengi wamekosa mikopo nao ni makamanda acha upuuzi kama huwezi kumsaidia kaa kimya kuna watu wanaweza
 
Back
Top Bottom