Sanchez kumlinganisha na Damaria ni kumshusha hadhi yake bana. Alex habari nyengine aisee
Hivi kwenye wanaogombea tuzo ya mchezaji bora nani yupo kwenye makaratasi??? Nadhani tuanzie hapo.
Nyie mnafananisha bunduki na manati
Sanchez kumlinganisha na Damaria ni kumshusha hadhi yake bana. Alex habari nyengine aisee
Usiwashangae fans wa arsenal wao wanaweza kufananishia hata carzola na rooney....Di Maria ni habari nyingine yupo kundi moja na akina Ronaldo,Messi.......Sanchez ndio mchezaji gani vile ebu acheni utani labda naweza kumlinganisha Sanchez na yule dogo wa Manchester United Wilson.
Di Maria ni habari ya Mujini acheni utani na vipaji vya watu mtakuja kufa bure na roho mbaya zenu.