Pwilo kikwetu ni NDUKUMAngedaka lile kombora la kibu denis kwanza.
Kwani kibu alikuwa na shida gani hadi aonewe huruma?Aliona amuonee huruma kibu
Na wanatoana sana nje muda mwingine ni connection za wachezaji wenyewe ni kama hapo Yanga itajaa wachezaji wa Asec kwa sababu wanapeana connection tofauti na sisi hao..Hatari sana
Uto bhana, hata kipa wa Nigeria aliedaka mechi ya kwanza anacheza chipa utd, south Afrika.Sisi Yanga tukisema mnasema ni mahaba, leo kila mmoja amekiri kwa kinywa chake Diarra ni bora Afrika sio tena Tanzania. Mkome sasa kumshindanisha na makipa wenu.
Yaelekea mlibahatisha, kwasababu kutokudaka ile haimaanishi ni kipa mbayaAngedaka lile kombora la kibu denis kwanza.