PreGE2025 Alex Msama: Rais amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

La bimkubwa wake km taa ya chemri
 
Majizi ya viwanja lazima yatoe pongezi ili kuweka kinga yasishughulikiwe kisheria.

Huyu mama anasifiwa na watu walio na maslahi yao binafsi.
 
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Uongo
 
Cbunguzeni watu wanaomsifia sana mama wana maisha au matendo ya namna gani, mtawapuuza.
 
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mke wa mdude, familia ya Mzee KIBAO, mbise, sativa, mlay, soka,kipanya dionisiar 🤔🤔🤔
 
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

kama anavyofurahi Mzee chaula huko Iringa, na mke wa bwana mudi pale Tanga.
 
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Huyu awahishwe Mirembe Hospital.
 
Back
Top Bottom