Alerts : Strictly for Women!!

Ila nyie wakaka, Siku moja mtakuja kuvalishwa vitop .....sasa bafuni kwa dada zenith mnatafuta mini??

Strictly yako iliisha baada ya kuandika thredi, sio replies nyingine.
Kwa maana nyingine yale ulioeleza kwenye #1 ni kwa ajili ya wanawake tu.
 
kuongezea usivae minguo mingi eti skintight sijui jooto kubwa uku linaleta fungi! unless umevaa kweli see-thru cloth otherwise usivae minguo mingi.

chezea obsesd weye! au siku nyingine unajiachia tu!!!!!!

au sio?
 
Last edited by a moderator:
Duuh! Kumbe papuchi ina masharti hivi?! Handle with care. Tupeni na sisi wanaume jinsi ya kuhandle mshedede.
 
eti mtu analala na chupi na skintait jamani? si uonevu wa k huo..haki ya k ipo wapi?

hahahaha Smile umenifurahisha sana hapo kwenye red. Ila mhh kulala na nguo ya ndani? Nadhani kazi sana, mchn unayo uchu pia?
 
Last edited by a moderator:
hahahaha Smile umenifurahisha sana hapo kwenye red. Ila mhh kulala na nguo ya ndani? Nadhani kazi sana, mchn unayo uchu pia?
hebu nijibu kazi ya chupi ni nini especialy usiku umelala? au kuna panya wataila nini?
 
Unaroho nzuri sana dada kwa kuwaelimisha wenzako big up!!!
 
umsimulie dada yako haya mambo?

dah!! utaanzaje? wakti mkiwa mazingira gani mpaka umwambie haya???

du!!! now iam starting knowing you!
grand amour, umenifahamuje eti? kama nahisi umenisoma vibaya..

Mimi na dada zangu tunaongea mambo mengi sana na hapo sijaona jambo ambalo nitaona aibu kuwaelezea..besides kama lipo nitamtumia linki asome..


sijaelewa no sita bwana! unakausha na drier kabisa au?

Kusuuza (rinse)...tumia muda wa kutosha kusuuza kitumbua chako...umeelewa sasa classmate Smile??!

Nilikuaga najua hao ni wanaume aisee.!!!

Ni wanaume mkuu nimewaita tu wasome walau na wao wakawaelezee dada zao ambao hawako huku. Unaona watu8 ashapata jambo la kumsimulia mkewe...
 
Last edited by a moderator:
bila kusahau kegel exercise [haya ni mazoezi a kyanasaidia sana kukaza misuli ya k nakuonekana mpya siku zote
do it as many times as you can
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…