M Mtafiti wa Kale Senior Member Joined May 18, 2013 Posts 111 Reaction score 22 May 19, 2013 #1 Halow habari za jpili naomba kufunguliwa milango ya kuingia ktk mtandao huu wa great thinkers
S Selungo JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,271 Reaction score 403 May 19, 2013 #2 Mtafiti wa Kale said: Halow habari za jpili naomba kufunguliwa milango ya kuingia ktk mtandao huu wa great thinkers Click to expand... Si useme tu kwamba umebadili ID!! Anyway, tutakujua kwa ila zako.
Mtafiti wa Kale said: Halow habari za jpili naomba kufunguliwa milango ya kuingia ktk mtandao huu wa great thinkers Click to expand... Si useme tu kwamba umebadili ID!! Anyway, tutakujua kwa ila zako.
M Mtafiti wa Kale Senior Member Joined May 18, 2013 Posts 111 Reaction score 22 May 19, 2013 Thread starter #3 Mimi ni mtu ninae penda kujifunza kuliko kufundisha ,naomba kuelimisha zaidi juu ya maswala ya kisiasa ni kijamii ya hapa Tanzania na dunia nzima
Mimi ni mtu ninae penda kujifunza kuliko kufundisha ,naomba kuelimisha zaidi juu ya maswala ya kisiasa ni kijamii ya hapa Tanzania na dunia nzima
Kaitampunu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,368 May 19, 2013 #4 Mtafiti wa Kale said: Mimi ni mtu ninae penda kujifunza kuliko kufundisha ,naomba kuelimisha zaidi juu ya maswala ya kisiasa ni kijamii ya hapa Tanzania na dunia nzima Click to expand... Wewe, husiingie moto humu, utarudishwa baridi muda si mrefu.
Mtafiti wa Kale said: Mimi ni mtu ninae penda kujifunza kuliko kufundisha ,naomba kuelimisha zaidi juu ya maswala ya kisiasa ni kijamii ya hapa Tanzania na dunia nzima Click to expand... Wewe, husiingie moto humu, utarudishwa baridi muda si mrefu.
U ungonella wa ukweli JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 4,210 Reaction score 556 May 19, 2013 #5 Karibu mkuu, kuna maccm humu, utayaona! Any way karibu!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 May 20, 2013 #6 Mtafiti wa Kale said: Halow habari za jpili naomba kufunguliwa milango ya kuingia ktk mtandao huu wa great thinkers Click to expand... Pita ndani mgeni.
Mtafiti wa Kale said: Halow habari za jpili naomba kufunguliwa milango ya kuingia ktk mtandao huu wa great thinkers Click to expand... Pita ndani mgeni.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,962 Reaction score 13,942 May 20, 2013 #7 Karibu sana JF.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,419 Reaction score 3,050 May 21, 2013 #8 Karibu JF.