kweli bwana TISS wametangaza kazi,jana nilipita wizara moja hivi!
nikasikia wanafanya internal recruitment kwa public servants
ila sijui external wanafanya lini?
ila mnajua maana ya TISS( Tanzania institute of social science) hii ndio nilikuwa na maanisha wakuu
mchana mwema! wana jf