ALERT!!! The real Barack Obama. And we thought Hussein Bashe had problems.

Kazi kubwa kama ya urais hawawezi wakampa mtu wasiyemjua ili kuwa na uhakika wa interest zao kama USA. But ndio macho yangu yanafunguka sasa kujua influence ya CIA na majasusi kwenye mambo yetu mengi. Kwa mbali unaona mtu anapewa lundo la fedha eti ni upinzani, kumbe ni puppet wa CIA. Duuh, sijui kama tutafika. Hiyo offer aliyopewa Tom Mboya ilikuwa ya kufa mtu. $100,000 those old good days.
 
Duhhhh hata T Mboya, the only kenyan politician that I admired so much as a true nationalist! How could I have been that wrong! Peww! And Munanka Bob, jeeesy, kumbe bado mengi ya kujua......what I gather is you can never take this high office without somehow having worked for the intelligentsia! Mungu wangu saa Slaaa vipi?
 
Back
Top Bottom