nchi ni ya kwetu kwa hiyo tun wajibu wa kufanya tutakavyo.
kama ni uharibifu wa mazingiza najua USA ndio taifa la kwanza duniani,likifatiwa na Europe ,China,India etc na hawako hata tayari kutumia njia za kisasa zaidi kama solar energy,gas etc ..je wanamaana gani ? leo wanataka kuleta ukilanja wao kwetu. huko huko kwao.