Alcoholic Anonymous Dar es Salaam

Alcoholic Anonymous Dar es Salaam

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
Wenzangu,

Nimekuwa sober kwa miaka 4 sasa, nimefika TZ last week kwa likizo ya 2 months ila company yangu wote ni pombe tupu. Nahofia kuanza kunywa tena.

Kuna AA hapa Bongo? Please nijulisheni wanapofanyia meetings.
 
AA ndio kitu gani hicho?

Tiba
 
hapa bongo sijawahi sikia AA kuna ya madawa ya kulevya tu,..stay strong,usisahau the reason that made u quit
 
Alcholics Anonymous-AA
Ni kikundi ambacho hupeana support kwa wale wanaojitahidi kuacha pombe especially wale ambao walikuwa very addicted.
Kuepusha mtu ku "Fall of Wagon" Kurudi katika hali ya ulevi pindukizi wao hukutana na kusaidiana kwa kusikilizana..
 
Nadhani hiyo gathering ipo Allianse de france pale upanga..
 
Wenzangu,

Nimekuwa sober kwa miaka 4 sasa, nimefika TZ last week kwa likizo ya 2 months ila company yangu wote ni pombe tupu. Nahofia kuanza kunywa tena.

Kuna AA hapa Bongo? Please nijulisheni wanapofanyia meetings.

A.A MEETING IN TANZANIA

DAR ES SALAAM
A.A: Tuesday: (Women's) IOGT Building 6:00 p.m, Wednesday: St. Peters Church 6:00 p.m, Saturday: IOGT Building 11:00 a.m, Sunday: IOGT Building 11:30 a.m

N.A: Monday: IOGT Building (Swahili) 6:00 p.m, Thursday: : IOGT Building (Swahili) 6:00 p.m,
Friday: IOGT Building (Swahili) 6:00 p.m, Saturday: IOGT Building (English) 6:00 p.m
Location: IOGT Building located at 254 Manara Street , Ada Estate.
St Peters Parish Church,opposite Winding Avenue and Haile Selassie Rd, Msasani
Phone: +255655197556, +255714816526 or +255658284850 all Kiswahili and English
Email : aatanzania@gmail.com

ARUSHA
Meetings at Arusha Community Church, Monday (Big Book Study) and Tuesday
(Open Sharing) 1-2 pm, Wednesday (Step meeting) 5-6 pm, Thursday (New Comers Meeting)
1-2:30 pm, Friday 5-6pm (Open Sharing) and Saturday (Speaker Meeting) 10-11am
Eddy: +255 755 509 188 or email shindavictory@gmail.com
Patrick: +255 762 928 503
John: +255 754 428 677
Innocent: +255 689 336 015

BUKOBA
Hope Group, at Miembeni, Bukoba Town, Tuesday and Friday 5-6 pm
Nelson R: +255 789 780 529
Email: rnelsontz@yahoo.com

MWANZA
Tuesday 5-6 p.m at the Hindu Public Library and Saturday 9-10am Mayowla Big Bite
Juma: +255 752 812 626 or +255 683 272 668

ZANZIBAR
AA Meetings in Zanzibar in English, Kiswahili or German
Saturdays 11am located opposite the main gate of the Double Tree Hotel, Nungwi
Rosel: +255 773 830 806, Chichi: +255 773 836 776
For NA Meetings Contact Sabri: +255 776 634 999 or
Arwa: +255 777 100 618

SINGIDA
Makingu Church, Monday to Friday 4:30-5:30pm
Contact:George +255 754 854 838 or gdamball14@gmail.com

TANGA
Sober House of Recovery
Salum: +255 657 438 005 or email: tangahouse2012@gmail.com

For more information please call: +255 78 05 29 (Nelson R)
 
Dawa yake ndogo !!!Dawa ya kuacha Pombe, aende kushinda makaburini mda usiopunguwa 2 hrs!!
 
pole

mpenzi wako pia kama hanywi mfanye kuwa rafiki yako
punguza hao marafiki wengine
 
Masai dada sijasema nina mpenzi bali marafiki
 
Maisha ya kithungu bana taabu tupu...yaaani kuacha pombwe hadi mikutano na makongamano!!! Mtaani kwetu ukipombeka kupitiliza ni viboko tuu!! Sasa usiombe uangushe gari mtaani!!...kuna jamaa wako kama mbuzi vibeberu wale wanaopanda hata gogo la mnazi wakiliona limekaa vibaya...
 
Back
Top Bottom