Albums na hit songs za kwaya za kikatoliki

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,350
Hapa tutatiririka na nyimbo kali na albums kali za kwaya kutoka R.C

Unazo ona zimetikisa kweli iwe katika jimbo au mkoa wako au Tanzania nzima.

Mimi bwana nitaanza na hawa kwaya ya mtakatifu Cesilia toka jimbo katoliki la Arusha na Album yao iliyotikisa iitwayo "MSHIPI"

Hii Album ilisheheni vibao maridadi vya uinjilishaji kama:- i, mshipi
ii, Ninakupenda Mungu hapa kilipigwa kinanda hatari sana

iii, Nani ni nani
iv, Tutaishia kusema
v, Wosia
vi, Nimevunja mkataba na shetani
vii, Bwana alikuwa tegemeo
 
Maajabu ya Mungu kaumba watu wa sifa mbalimbaliii, wengine ni warefuuu wengine ni wafupiii! Wote ni wa Munguuu, woteee!

Siwajui walioimba ni kwaya gani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom