P Pass Master Member Joined Sep 18, 2020 Posts 94 Reaction score 61 Nov 13, 2020 #1 Wakuu umeona ujio wa Davido??? Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo) Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17. Chris Brown,Nick Minaj,Young Thung na Nas wasanii wakimataifa walioshiriki humo.. Afrika mashariki Sauti Soul tu ndio wameshiriki,kumbuka Sauti Soul walikuwepo kwenye Album ya Patoranking,Burna Boy leo hii kwa mtu mzima Davido🙌 Wangapi tumebahatika kuipa sikio???
Wakuu umeona ujio wa Davido??? Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo) Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17. Chris Brown,Nick Minaj,Young Thung na Nas wasanii wakimataifa walioshiriki humo.. Afrika mashariki Sauti Soul tu ndio wameshiriki,kumbuka Sauti Soul walikuwepo kwenye Album ya Patoranking,Burna Boy leo hii kwa mtu mzima Davido🙌 Wangapi tumebahatika kuipa sikio???
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,573 Nov 13, 2020 #2 Sauti Sal Hawa Jamaa Wanakimbiza Mwizi Kimya Kimya. Wangekuwa wanatokea bongo hao promo ingekuwa kila corner!
Sauti Sal Hawa Jamaa Wanakimbiza Mwizi Kimya Kimya. Wangekuwa wanatokea bongo hao promo ingekuwa kila corner!
P Pass Master Member Joined Sep 18, 2020 Posts 94 Reaction score 61 Nov 13, 2020 Thread starter #3 Kichwa Kichafu said: Sauti Sal Hawa Jamaa Wanakimbiza Mwizi Kimya Kimya. Wangekuwa wanatokea bongo hao promo ingekuwa kila corner! Click to expand... Jamaa hatari
Kichwa Kichafu said: Sauti Sal Hawa Jamaa Wanakimbiza Mwizi Kimya Kimya. Wangekuwa wanatokea bongo hao promo ingekuwa kila corner! Click to expand... Jamaa hatari