Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Wakili huyu maarufu ameshutumiwa kuwa sio raia wa Tanzania.wazazi na ndugu zake wahojiwa kuhusu suala hilo.



=======Updates =======
​
Wanawahoji baba na kaka kama wanamfahamu, je hao baba na kaka wao ni raia?
 
Hakika zitto hutashinda vita ya uma na kama huamini fuatilia historia ya wasaliti wa wananchi uone waliko ishia.huaminiki tena na unadharaulika kwa jamii nzima unachotaka ni kugawa kura zetu 2015 ila sisi tilioko shuleni bado tuna nafasi yakuja kukushughulikia naadae.



=======Updates =======
​
[/QUOTE]
 

nilitaka KUCHANGIA UZI HUU LAKINI KWA HUU MCHANGO WAKO SINA HAJA TENA ! ASANTE SANA .
 
[/QUOTE]

eee bhana eee !
 
umekataa kutoa ushahidi wa source, badala yake unataka tutafute wenyewe. Who knows labda mnamsingizia, akaunti yake haina hicho kitu?

Watu wengine bwana burudani!hivi kila kitu lazima ubishe? Ameandika imetoka kwenye facebook wall ya Alberto kwa hiyo unategemea akupe ushahidi kuwa kweli katoa kwenye wall ya Alberto? How for instance? Aipige picha hiyo wall au?
 

Tolea majibu ya A na B juu ya Ndugu Msando tuhitimishe hoja!
 
Braza huyo ni mzalendo mzuri sana ..
Mie binafsi nashuhudia hilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…