Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

Msando, kumbe hata process za kufungua kesi mahakama kuu hazijui, sasa umeona umevyomsababishia kwenzio matatizo makubwa!!

Itabidi na wewe umsaidie kuzilipa hizo gharama!!
 
Ni shida kweli kama mtu utakubali kupelekwa kama msukule kwa kukubali kupelekwa bila kuhoji.
 

Nadhani sasa ni wakati muafaka Administrators wa JF kureview vigezo vya ranking za members ili viakisi upeo, uwezo michango chanya na weledi wa members; category by category mpaka anaitwa JF Senior Expert member! Naona wengiwengine ni vumbi tupu!
Anyway; maji yakisha mwagika hayazoleki; hakuna haja ya kulumbana na Msando; Zitto amelipa bei stahiki kwa USALITI wake; We have had the last laugh; hakuna kiasi cha mitusi, kejeli; majina chochote kinachoweza kubadilisha hali hiyo kwamba Zitto is OUT and thats what matters most.
Wanaompenda Zitto kanyweni nae Chai migahawani au kaleni nae Migebuka huko kwao Kigoma kesho atakapozuru jimboni kwake!
Tamaa ya pesa na madaraka; Undumila kuwili na usaliti; may have finally brought an erstwhile shining political career to a grinding halt; mtu yeyote kujitoa akili kuendelea na kilio cha Zitto kaonewa; Zitto kafanyiwa hili Zitto kafanyiwa lile; it is all inconsequential; too little too late!
Acheni maigizo msaidieni Zitto kujibu tuhuma za usaliti zinazomkabili; kuwaengua wagombea wa CDM katika baadhi ya majimbo; kuna glaring evidence kwamba Zitto alishiriki kuasisi chama ndani ya chama, mnasemaje?! kutukana na kuita watu majina mabaya hakutubadilishi sura; kimo wala hakupunguzi kipato chetu wanaolaani Usaliti wa Zitto!
Adieu Zitto, Good riddance Zitto
 
Kuhusu Albert Msando.Ni Diwani asiyejua wajibu wake kwa wananchi waliomchagua wa kata ya Mabogini Moshi Vijiji ni.Makazi yake ni jijini Arusha na tangu achaguliwe hajakanyaga mabogini na vikao vya WDC anafanyia Arusha na kwa kuwa wenyeviti wa vijiji wana njaa yeye akiwaita Arusha wanakwenda tu.Amehudhuria vikao vitatu tu vya baraza la madiwani. Kutokana na kitowajibika kwake kwa makusudi wananchi wa mabogini wamekiadhibu vibaya chama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo CHADEMA haikupata hata kiti kimoja kwenye kata ya mabogini.Kuna tetesi anataka kugombea ubunge Moshi vijijini kwa tiketi ya ACT.Ni Kijana asiye na shukurani kabisa kwani ni mmojawapo wa watu waliofundishwa kuvaa suti na Mbowe.Kwa taarifa Mbowe ndiyo msimamizi WA ndoa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…