Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,502
Mkuu nimependa comments zako lkn pamoja na mleta mada. Unajua sisi Watanzania hasa kizazi chetu kipya hiki ni waajabu sana. Yaani tunapenda kupakana mafuta kwa migongo ya chupa. Yani mtu anapambwa kwa sifa za ajabu mpaka unajiuliza huyu mtu kitu gani cha ajabu alichokifanya kwa watanzania hukioni. Mtu kafa kwa kuzidisha starehe lakini watu wanajifanya kupamba na kukwepesha ukweli. HUU NI UNAFIKI WA HALI YA JUU KABISA. Call a spade ''SPADE''. tuache unafiki, huyu kafa kwa madawa ya kulevya, isemwe hivyo na siyo kupamba ujinga. Hakuna alilotufundisha zuri huyu na wengine wenye tabia kama hizo. Starehe huwezi kuzikomesha, kinyume chake zitakukomesha. Tumwombee kheri Mungu amsamehe makosa yake na sisi pia tulio nyuma yake
Na ww unachemka sio kila anayekufa na UKIMWI ni muaashratiAcha kiburi, hivi mama Yako Akifa kwa ukimwi utaichapa bakora maiti yake kwa kua ni muasherati?
Kwa maana hiyo unataka kusema yeye ndo aliwavuta vijana waje kutumia hayo madawa? au hapo kijiweni walikuwa wanafanya campaign ya kuwaita waje kutumia? Sioni mantiki ya kumhusisha moja kwa moja hiliMkuu nimekuelewa ila kumbuka:
Golikipa ukizuia dak 89 na ukaachia kizembedak ya 90 unataoneka mpumbavu mara mia ungefanya huo uzembe za mwanzoni, me na shuhuda 1 ambaye alikuw jiran kijiwe cha ngwea na wenzie walipokuwa wana vuta na kutumia madawa, sasa jiulize ni vijana wangap wameshapotea kw matumiz ya madawa?
Mkuu tafakar ki undanna sio juu juu, yeye angalau alikuw na uwezo kidogo ndio hata akaish kidogo, je hao alikuw nao hawana uwezo unajua wako wapi? Mungu atusamehe na tujitambue.
Sioni umuhimu wa kumwita aliyetangulia mbele za haki "mhuni". After all Mwenyezi Mungu hajakupa hayo mamlaka ya kuhukumu. Unaweza ukajiona wewe sio mhuni lakini una mapungufu yako makubwa tu ambayo nayo yanatasfiriwa ni uhuni na wanaokujua.
Kuna wengi sana wasiojuwa tofauti ya kutaja kosa la mtu, na kutoa hukumu ya kosa la mtu....Luke 6:37, don't judge and you will not be judged, only god can judge him.
Sioni umuhimu wa kumwita aliyetangulia mbele za haki "mhuni". After all Mwenyezi Mungu hajakupa hayo mamlaka ya kuhukumu. Unaweza ukajiona wewe sio mhuni lakini una mapungufu yako makubwa tu ambayo nayo yanatasfiriwa ni uhuni na wanaokujua.
Kwa maana hiyo unataka kusema yeye ndo aliwavuta vijana waje kutumia hayo madawa? au hapo kijiweni walikuwa wanafanya campaign ya kuwaita waje kutumia? Sioni mantiki ya kumhusisha moja kwa moja hili
Kinachokusumbua wewe ni hofu ya kifo. Muhuni ni Muhuni tu, awe amekufa au mzima. Nikukumbushe kuwa wewe ni roho yenye mwili na sio mwili wenye roho. Hatma yako hapa duniani inategemea huo mwili, lakini roho yako ina safari ndefu.
Sikuyasema haya kwamba mimi sina dhambi, lakini nakuhakikishia kufa hakuondoi sifa mbaya ya mtu.
Huyu akifa nimuiteje? Mtakatifu?
Usinitolee mimi mifano ukidhani ninaogopa kufa. Kama nikifa ulevini mimi ni muhuni tu, hata wanangu wanapaswa kuelewa kuwa baba amekufa kwa upumbavu wake.
Masuala ya Mungu kunipa haki ya kuhukumu hiyo ni tafsiri ya kijinga ya maneno ya Mungu. Nakuonya wewe usiye na akili unaniambia nahukumu. Namhukumu nani? Ni lipi zito, mimi kusema fulani ni malaya au yeye mwenyewe kufanya umalaya?
we nawe wale wale tu.. Hujui tofauti kati ya kosa na hukumu ya kosa.... Kwa mfano, mvuta bangi ni muhuni (kosa) lakini muhuni ataingia motoni (hukumu)... Na awe kafa au mzima, kama alikuwa muhuni hakuna tofauti... Unachoonyesha hapa ni woga wako kwa aliyekufa...
we nawe wale wale tu.. Hujui tofauti kati ya kosa na hukumu ya kosa.... Kwa mfano, mvuta bangi ni muhuni (kosa) lakini muhuni ataingia motoni (hukumu)... Na awe kafa au mzima, kama alikuwa muhuni hakuna tofauti... Unachoonyesha hapa ni woga wako kwa aliyekufa...
Mkuu sidhani kama kuna haja ya kutoa maneno makali na yasiyo na staha eti nisiye na akili, tasfiri ya kijinga, unanionya etc! wastaarabu huwa wanatumia hoja na sio maneno ya namna hii. Unless unataka kuniaminisha kuwa wewe sio mstaarabu. Narudi kwenye Hoja, Unauliza unamhukumu nani? Kwa michango yako umetoa hukumu kuwa the deceased ni Mhuni na by implication conducts zake sio safi. Ndipo ninapokuuliza wewe una mamlaka yapi ya kutoa hukumu? Hujanijibu zaidi ya kusema hii ni tasfiri yangu ya kijinga.
Sasa wewe unachongea kwenye mfano huu ni kipi? kosa ni kuwa mhuni au kosa ni kuvuta bangi? kaa chini rudia kuutazama mfano wako upya
Sasa ulibisha nini nilivyokwambia wewe ni mjinga? Hapo ulichoshindwa kuelewa ni nini na unauliza nini?
Mtu akivuta BANGI, huyo siyo muhuni? Au wewe uhuni unauelewaje?
Nadhani tatizo lako ni kudandia gari kwa mbele halafu huangalii nini kinachojadiliwa. Anyway kwa maneno unayoyatumia siwezi kuendelea kurudishiana maneno nawe maana unaonekana bado ni mtoto au kijana mdogo. Hizi lugha zako nenda nazo huko huko facebook. I don't wanna waste my time because I'll also be like you.
Nini kilisababisha Ngwea abwie unga.?