NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Mkuu, sasa uanze kulipa kodi!Huyo jamaa ni kama Tundu Lissu wetu kwa hapa tanzania
unataka kusema yuko kama Nape?Mkuu, sasa uanze kulipa kodi!
Porojo,Siasa za maji taka usifananishe na Science...Albert ni Tank thinkerHuyo jamaa ni kama Tundu Lissu wetu kwa hapa tanzania
Sawa kabisa hujakosea!!! Ndo maana ya neno "ni Kama" ....Huyo jamaa ni kama Tundu Lissu wetu kwa hapa tanzania
Hahahahahhhha upo juu...Manabii walikufa na mitume pia au haujui.Kwanini alikufa kama alikuwa na akili
Watu makini hawafi.Hahahahahhhha upo juu...Manabii walikufa na mitume pia au haujui.
Wengine waligoma Enock na Eliya lakini lazima ufe tu