Albert Chalamila: Mimi ni mwanasiasa nisiyeendekeza njaa, nina degree za kutosha hivyo siyumbishwi!

Hata Mbowe ni tajiri lakini hajaacha siasa!
Mfano wa Mbowe haufai, maana yeye si msomi. yeye ni mbumbu wa fomsigsi ambaye hakupata nafasi kwenda chuop kikuu wakati wakati huo ukipata principle E tatu au E mbili na D moja unapata nafasi UDSM. Nafikiri alipata division zero ya sasa ndioyo maana hakupata nafasi ya kwenda chuo kikuu. Kwa sababu ya kushindwa baba yake hakuweza kumpeleka India au USA. Alimpa kazi ya DJ Billicanas.
 
Fadha na shule kwenye maisha yako kipi bora zaidi kwako ?
 
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate diploma na Masters za kutosha hivyo hana njaa.

Chalamila amesema viongozi wengi wakiteuliwa wanaendekeza wizi wa mali za umma ili wasistaafu wakiwa maskini lakini yeye hakuwa mmoja wao kwa sababu elimu yake ni mtaji.

Chalamila amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na wasiendekeze makundi, ndio maana hata yeye alipokuwa RC wa Mbeya aliwachapa viboko wanafunzi waliochoma mabweni

Jumaa kareem!
Chalamila akae Kimia, vinginevyo naye yatamkuta ,yeye anadhani mali anazomiliki zimetokana na elim yake ,? au anafikili kila mtu ni mjinga
 
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate diploma na Masters za kutosha hivyo hana njaa.

Chalamila amesema viongozi wengi wakiteuliwa wanaendekeza wizi wa mali za umma ili wasistaafu wakiwa maskini lakini yeye hakuwa mmoja wao kwa sababu elimu yake ni mtaji.

Chalamila amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na wasiendekeze makundi, ndio maana hata yeye alipokuwa RC wa Mbeya aliwachapa viboko wanafunzi waliochoma mabweni

Jumaa kareem!
Wizi dili
 
Jibu wewe unayehoji kama anakula degree au la! Je aliiba na kama aliiba, nini?
Leta ushahidi hadharani!
Hata magu hakuwa mwizi, mkabila, mpendelea kwao, mvuruga demokrasia na haki, ndio aliteuwa watu kama, Chamila, sabaya, makonda,hapi pole pole,ili tz iende mbele, teh,teh,teh...
 
Mfano wa Mbowe haufai, maana yeye si msomi. yeye ni mbumbu wa fomsigsi ambaye hakupata nafasi kwenda chuop kikuu wakati wakati huo ukipata principle E tatu au E mbili na D moja unapata nafasi UDSM. Nafikiri alipata division zero ya sasa ndioyo maana hakupata nafasi ya kwenda chuo kikuu. Kwa sababu ya kushindwa baba yake hakuweza kumpeleka India au USA. Alimpa kazi ya DJ Billicanas.
Form six ni mbumbumbu? Kweli? Una chuki to that extent?

Unaijuwa vizuri familia ya Mbowe?
 
Huyu ashapotea.Bora Polepole kaona mbali kaanzisha platform zake hata 2025 akipotezwa ubunge,atakuwa yupo kwa shule yake via YouTube na plateforme zake zingine.
 
Kwanza wanabodi waombe msamaha kwa kumwita Chalamila ni RC msitafu,sema RC wa zamani wapi alikwambia amesitafu?
Pia Kama hana njaa mbona bado anapiga kelele? Ulimuona wapi Mwanri Agrey akipiga kelele?
Kumbe hata Assad ananjaa,maana bado anapiga kelele na yeye. Mara hakustaafu nilifukuzwa.
Tukubali mawazo yao wanausema ukweli.
 
Kuwa na (ma)degree ni jambo moja, na kuzifanya zikuletee hela ni jambo lingine.
Vinahusiana lkn siyo mara zote. :p :p :p
 
Sawa atakula hizo degree au
digrii huwezi kula bali zinakusaidia kupambana na maisha.hata wanasiasa wapo pale bungeni sababu ya hizo degree hivyo chalamila yuko sahihi na anajiamini na hicho ndo kipimo cha elimu.
 
Akihutubia kama mgeni rasmi katika ufunguzi wa shule ya Range Primary & Sec school mjini Ilula RC mstaafu Albert Chalamila amesema yeye amesoma UDSM kwa miaka 7 na ana degree, post graduate diploma na Masters za kutosha hivyo hana njaa.

Chalamila amesema viongozi wengi wakiteuliwa wanaendekeza wizi wa mali za umma ili wasistaafu wakiwa maskini lakini yeye hakuwa mmoja wao kwa sababu elimu yake ni mtaji.

Chalamila amewataka wanafunzi kuzingatia masomo wawapo shuleni na wasiendekeze makundi, ndio maana hata yeye alipokuwa RC wa Mbeya aliwachapa viboko wanafunzi waliochoma mabweni

Jumaa kareem!
Nimependa. Mama alikutema kwa kua haoni mbali na ni msikivu kwa wapigaji.
 
Back
Top Bottom