alama za teksi Dar bado zina walakini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

alama za teksi Dar bado zina walakini!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bob K, Jul 6, 2009.

 1. B

  Bob K Member

  #1
  Jul 6, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jf kuna kitu nilishawahi kusimulia kuhusu jinsi stashili za watu wanavyoibiwa na hizi teksi ingawa si matukiao mapya lakini yana stahili zake kila moja na kwa bahati wakati huohuo Kamanda kova alishatangaza jinsi ambavyo wameamua kuzipiga alama teksi zetu za hapa jijini katika hali ya kupambana na matukiao kama hayo lakini hapa mimi naona kuwa bado kuna walakini kwani ukiziangalia ile mistari iliyopigwa inaonhyesha tu hii ni taksi ya ilala,temeke na kinondoni kitu ambacho sio rahisi kama umekutwa na tukio kukumbuka,

  sio utambulisho wa haraka kwani bado inabaki pale pale ni lazima ushike plate namba yake kitu ambacho hawa jamaa waharibifu huweka namba feki mi nilikuwa nafikiri kuwa hizi tekisi zote hakuna cha tours wala cha nini kwanza zote zingepigwa rangi moja tu hata kama zitatofautiana kwa manispaa kisha kila teksi iwekwe namba kwenye milango miwili mbavuni kubwa na kuzungushiwa na duara kama zamani angalau kwa haraka unaweza kukumbuka nilipandataksi namaba 23 ya temeke au hata siku hizi weweza kumtumia ndugu yako namba nakwenda home kwa taksi namba .... miji mikubwa yote katika nchi zilizoendelea taksi zao zinakuwa za rangi moja na juu ya paa la gari kile kitaa cha kuonyesha taksi hii nadhani itasaidia kuliko hii michoro kama daladala sijui wenzangu mnasemaje chunguzeni hili?
   
Loading...