Alama ya mapenzi

kipili

Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
29
Reaction score
6
tulizoea kuona alama inayoelezea penzi /mapenzi /upendo ikiwa imechomekwa mkuki hapo awali ila sasa alama hii haina mkuki unayoichoma kama zamani , je hali iliyokuwa sababisha mkuki ule uwepo pale imetoweka?kama hivyo basi hi wakati gani penzi lilikuwa chunngu zaidi ukilinganisha na sasa.
 

Attachments

  • love.jpeg
    2.9 KB · Views: 498
Uko darasa la ngapi vileeee?
Mara ya mwisho nilikuona ulipokuwa vidudu
 
Jamani alama ya moyo wenye mkuki ni ishara ya moyo uliovunjika au mtu aliyeumizwa na mapenzi au kuachwa n mtu anayempenda umesikia?
 
Una maana gani ndugu??

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…