Alama uliyoiweka haijafutika

Nilipenda tena ingawa ilichukua muda kumuamini na alijitahid Sana kuniaminisha (ambae ndio wife). Kuanguka mapenzini Zaid ya Mara moja "ndio kupo Sana tu" angawa na maumivu yake ndo yanakua maradufu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mshkaji alimpelekea dem wng niliyempenda sana file langu la umalaya nikiwa nimesafiri,akamuita dem kwake akapiga mate ila dem akastuka hakumpa k.
Dem nlivyorudi akaniambia ukweli kua jamaa ndio alikua anampelekea maneno kututenganisha.

Hasira zangu nlitembea na dada zake na mshkaji wawili mpka akajua,then nkamla mchumba wake 2012 nlimkuta club villa na wenzie pombe sana nkawapa,kastuka kesho yake saa 4 yuko uchi kaliwa mzigo full kulia nisimuambie jamaa,ubaya huwa naulipa hapahapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni babkubwa mkuu! Penye kidonda ukasiliba na chumvi mixer pilipili, vp jamaa alijua ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio unabaharia sasa ,sio mwanaume unatekenywa kidogo ,unaliiiiiiia
Safi sana mkuu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Pole sana mkuu, funzo nalilopata hapa ni "usijaribu kupima uaminifu wa mpenzi au mke wako kwa kupitia kutongozwa na rafiki ako".

Hakika akimkubalia itakucost sana kwakua utawapoteza wote kwa pamoja.. kwanza rafiki ako, kisha mpenzi wako + Maumivu makali ya hisia moyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu, though yashapita but ujana+kufall in love sometimes kunafanya usiwaze kbsa mbele unakua km kipofu hauwez kbsa kusense htar ya kupinduliwa! Sana sana unachokua unakiamin ni anakpenda na muaminifu 100% kwko[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! ni kweli mkuu, ukishapenda huwa ni ngumu sana kuamini kuwa unaweza salitiwa na ukathibitisha[emoji29]

Mapenzi ni mtihani mgumu sana, maana msipoaminiana pia hamuwezi kupendana kwa dhati... so kila option ina costs&benefits zake. Cha msingi ni kufanya kile nafsi inapenda na kujitahidi kuyazuia kuliko kuruhusu kupambana na yalio juu ya uwezo wa kuyahandle..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kuhonga ni upendo tu.
Aliona hali ya happy na wifi yake sasa angewaacha wahangaike wakati anaweza kuwatunza? Ni moyo tu mkuu.
Jamaa yako snitch kweli. Ulikosea kuwa na rafiki wa vile. Happy usimlaumu sana, maisha yalikuwa magumu ikabidi achukue maamuzi magumu.
Ila kuna watu mnahonga, unapata 20/30 unatoa 10, mimi hiyo kitu sifanyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa mnapata mademu muwe mnawavua chupi kwanza mengine badae acheni kulemba lemba umeona sasa ujinga wako ujavua chupi kaja kuvuliwa na rafiki yako....

121.
 
Hata mm nilishawai fanya iki kitu ila tulikuja kuachana kawaida tuu
Nishawai ingia nae kanisan na tukajiapiza kutokuja kuachana tukawekeana biblia katikati tukiwa tumepingiana! Alinishawishi Sana tufanye hivo akihofia ntakuja kumuacha (huu ndo upuuzi nnaoujutia adi kesho)

Sent using Jamii Forums mobile app

121.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…