Alafu mafuta yameisha

Mbona jamaa kashuka kwenye pikipiki? Au photoshop?

Hilo tukio liliwekwa hapa JF...

Huyo jamaa wa bodaboda alikuta magari kadhaa yapo foleni yakimsubiri simba apishe njia...

Pasipo kujua mbele kunani huyo jamaa wa bodaboda akapita pembeni ya magari hamadi ndio kakuta simba kajituliza barabarani...

Waliopiga hiyo picha walikuwa ndani ya gari...na jamaa wa bodaboda huenda anajiamini au ameshazoea kukutana na hao simba huko njiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…