navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,517
- 480
Magufuli: Leo sio siku yangu ya kutoa hutuba, leo ni siku ya bosi wangu, mheshimiwa mwenyekiti wetu wa chama cha mapinduzi, chama tawala ambapo sisi viongozi tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi.
Lakini nataka nichukue nafasi hii chanya ambayo nimepewa niwashukuru wananchi wa Singida na watanzania kwa ujumla kwa kunipa kura nyingi na kuwa Rais wenu.
Napenda kukuthibitishia mwenyekiti wetu, mimi pamoja na serikali ninayoiongoza tutaendelea kukienzi chama cha mapinduzi na tutatekeleza ilani ya uchaguzi ili wananchi wote waweze kuondolewa kero zao. Na nitoe wito kwa watendaji wote wa serikali, watendaji wote wa serikali kuanzia juu mpaka chini, anaejijua ni mtendaji wa serikali ana jukumu moja tu la kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi.
Asieweza atupishe pembeni, uwe mkuu wa wilaya, tekeleza ilani ya CCM, uwe katibu tarafa, wewe uko ndani ya CCM kwa sababu tunaoteua ni sisi, mimi ni Rais lakini ni Rais niliechaguliwa na chama cha mapinduzi. Kwa hio nitoe wito kwa watendaji wa serikali ambao wanapokuwa kule wanajifanya wao ni watendaji wa serikali, wajue serikali hii inaongozwa na Rais mwana CCM ambae yuko hapa kwa ajili ya kutekeleza.
Nilitaka hili niliweke wazi, tumedhamiria kufanya kazi na ninasema tutafanya kazi kwelikweli na ndio maana kauli yetu ni hapa kazi tu lakini pia imeungwa mkono na chama changu na mheshimiwa mwenyekiti kwamba kazi ipo pale.
Anatokea nyumbu anasema eti ccm imeoza hata magufuli hajivunii.
Mwambie mtu wa namna hio aache ULOFA NA UPUMBAVU na atasema umemtukana na kwenye t shirt ataprint.