First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
hii ni story ya kweli kabisa na nimeiprove..
katika familia fulani kuna mambo yalienda kombo kama sio kuharibika kabisa...
ilikuaje huyu jogoo ale kuku na yai lake??
kuna mama alishindwana na kuachana na mumewe kwa talaka bubu (baada ya kumchoka mke huyo mbaba aliamua kusepa zake na kuitelekeza familia bila mawasiliano yyt akiwa amezaa mtt wa kike na huyo mama)
sikujua kilichofanya washindwane.. ila nilichoona ni kwamba baada tu na huyo mbaba kusepa mama alileta mume mdogo (kijana wa makamo kabisa; around 30-35) akazaa nae mtt mwingine wa kike mzuri kabisa...
yai limeliwajwe???
huyo mama akapata udhuru akasafiri kwenda kwa ndugu zake kwa muda wa week 2, huku kamwacha huyo mume mdogo na watoto wake wawili wa kike.. huku huyo first born akiwa na umri wa around 13-14; jamaa akaona huo ndo muda wa kufanya yake.. akambaka huyo binti kama mara mbili hivi...
bt cha kushangaza mama alipopewa hizo taarifa na binti yake hakuamini kabisa.. nahisi kwa sababu alimpenda sana huyo kijana wake kupita maelezo.. kwa hiyo hakuna hatua yyt aliyoichukua..
binti abeba mimba....
baada ya muda huyo binti tumbo lilianza kufutuka akaacha na shule(alikuwa form 1) akamzaa mtt wa kike kafanana na mtt wa babaake huyo mdogo ambae ni mdogo wake yeye kama katolewa fotokopi.... ilimuuma binti wa watu lakini hakufanya lolote labda kwa sbb hata mamaake hakuonyesha ushirikiano kwake...
1. kakosa shule
2.kaanza kulea kabla ya muda wake
3.analia daily bt hana msaada...
WAZAZI TULIENI NA NDOA ZENU, KUACHANA KWENU KUNAWALETEA WATOTO MATATIZO..
FB