Al-Shabaab attacks Kapenguria Police Station, 6 Officers feared dead

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669

Six police officers are feared dead after a gunman attacked Kapenguria Police Station, West Pokot County, on Thursday morning.

The gunman is reported to have invaded station to rescue "colleague" arrested at Nakujit on suspicion of being a terrorist, according to police sources on the ground.

As per Robert Alai on Twitter:

Police have taken cover as shooting continues.

The police station boss (OCS) Vitalis Ochido is said to have been shot but is still alive, the police sources indicated.

National Police Service spokesman George Kinoti confirmed the incident but without giving the details.

OFFICIAL STATEMENT:

image.jpeg
 
Kama sio KDF ni nani hao mkuu?
Dada usiwe mwepesi wa kujibu na kukurupuka bila kuwa na uhakika wowote. Hao ni kitengo cha polisi cha administration police ama GSU, wanvaa sare za kijeshijeshi.

Pili usione tukio kama hiki ukadhani taswira full ya nchi, sisi wote mahali tulipo hatujui kisa kamili, na usiwatukane wala kudunisha uwezo wa polisi wetu. Aina ya tukio kama hizi, haswa wanapowakabidhi majangili sugu, ni kawaida popote duniani.

Tatu, subiri ripoti rasmi itolewe.
 
Hee! Mimi niliuliza kwa nia njema tu. Samahani kama nilikukwaza kwa namna yoyote mkuu.
Poleni sana.
 
Wakenya inabidi muungane bila kujali dini, kabila au rangi muishinikize serikali yenu ikae chini na hawa Wasomali mmalize matatizo.

Hakuna vita isiyoishia kwa muafaka hususan hii ya kujitakia.

Wakenya takriban asilimia 20 wana asili ya kisomali hivi bila kukaa nao chini mnafikiri mtawamaliza?

Wakubwa zenu huko Kenya wanafaidika kwa hii vita kuendelea, nyinyi raia wa kawaida ndiyo mnaotaabika na kuadhibika kila kukicha.

Hakuna raha ya kuishi kama kuwa na amani na utulivu na hilo kwa sasa Kenya ni ndoto kwani kila ukikutana na msomali roho inakudunda kwa kukosa amani, labda huyu.

Kubalini yaishe.
 
Bado Shughuli mbichi
Nimwendelezo wa kuviziana
Wavaa ndala hawana cha kupoteza hao
 
Wakenya inabidi muungane bila kujali dini, kabila au rangi muishinikize serikali yenu ikae chini na hawa Wasomali mmalize matatizo.

Hakuna vita isiyoishia kwa muafaka hususan hii ya kujitakia.

Wakenya takriban asilimia 20 wana asili ya kisomali hivi bila kukaa nao chini mnafikiri mtawamaliza?

Wakubwa zenu huko Kenya wanafaidika kwa hii vita kuendelea, nyinyi raia wa kawaida ndiyo mnaotaabika na kuadhibika kila kukicha.

Hakuna raha ya kuishi kama kuwa na amani na utulivu na hilo kwa sasa Kenya ni ndoto kwani kila ukikutana na msomali roho inakudunda kwa kukosa amani, labda huyu.

Kubalini yaishe.
Alshaabab si wasomali pekee. Kuna wa asilia ya kikenya, kitanzania na kadhalika.
 
Dada usiwe mwepesi wa kujibu na kukurupuka bila kuwa na uhakika wowote. Hao ni kitengo cha polisi cha administration police ama GSU, wanvaa sare za kijeshijeshi.

Pili usione tukio kama hiki ukadhani taswira full ya nchi, sisi wote mahali tulipo hatujui kisa kamili, na usiwatukane wala kudunisha uwezo wa polisi wetu. Aina ya tukio kama hizi, haswa wanapowakabidhi majangili sugu, ni kawaida popote duniani.

Tatu, subiri ripoti rasmi itolewe.
Mbona hakujibu vibaya au sikumuelewa?
 
Back
Top Bottom