what is the motive behind their attack maana ya kenya walitoa sababu...sasa sisi hapa tunahusikaje?? msaada plizz au ndo kutaka kuuza magazeti
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Mkuu, njaa inauma kweli. wanatafuta namna ya kushiba
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Unadhihirisha ubwege wako. Ripoti itolewe na Mtanzania wewe akili inakutuma ni Tanzania Daima. Hata huyo aliyekuweka kwenye payroll ya malipo ya buku 7 haoni ulivyo mtupu upstairs?Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Ndio hapo sasa... Tanzania ina issue gani na Al Qaeda kushambuliwa? Au tu kwasababu ni SOFT TARGET? Lakini kama kweli wao ni SUNNI na wanajali Damu ya Waislamu Tanzania watu watatu wakipita mmoja ni Mwislamu Sunni kwahiyo hawata wajali hao?
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...