Al Qaeda wa Iraq kufanya Mashambulizi 100 kulipiza kifo cha Osama

Hayo maswali uliouliza ungewauliza Wamerekani walipokwenda kushambulia Afghanistan. WaAfghanistan ndio waliwaripua New York?

Wacha watandikwe wao na vibaraka wao waliowakaribisha Iraq.
 
Hayo maswali uliouliza ungewauliza Wamerekani walipokwenda kushambulia Afghanistan. WaAfghanistan ndio waliwaripua New York?<br />
<br />
Wacha watandikwe wao na vibaraka wao waliowakaribisha Iraq.
Waacheni wadundane wao kwa wao huku mafuta yakikwapuliwa!
 
Hayo maswali uliouliza ungewauliza Wamerekani walipokwenda kushambulia Afghanistan. WaAfghanistan ndio waliwaripua New York?

Wacha watandikwe wao na vibaraka wao waliowakaribisha Iraq.

Kweli wewe ndio zombie kabisa...sasa watakaotandikwa ni wamarekani au wairaq?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…