Al Qaeda wa Iraq kufanya Mashambulizi 100 kulipiza kifo cha Osama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al Qaeda wa Iraq kufanya Mashambulizi 100 kulipiza kifo cha Osama

Discussion in 'International Forum' started by Kinyungu, Aug 21, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Magaidi wa Al Qaeda wa Iraq wamesema watafanya mashambulizi 100 kuanzia katikati ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ili kulipiza kifo cha kiongozi wao mpendwa Sheikh Osama Bin Laden.


  Swali: Hivi hao watakaokufa kwenye hayo mashambulizi yao ndio waliomuua Sheikh Osama Bin Laden?

  Al-Qaeda in Iraq: 100 attacks to avenge Bin Laden - Arab News
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hayo maswali uliouliza ungewauliza Wamerekani walipokwenda kushambulia Afghanistan. WaAfghanistan ndio waliwaripua New York?

  Wacha watandikwe wao na vibaraka wao waliowakaribisha Iraq.
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Waacheni wadundane wao kwa wao huku mafuta yakikwapuliwa!
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Kweli wewe ndio zombie kabisa...sasa watakaotandikwa ni wamarekani au wairaq?
   
 5. HT

  HT JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Al Qaeda are as stupid and mad as NATO
   
Loading...