Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Soft target tu, ndo magaidi yalivyoSasa hawa wapuuzi huyu bibi wa watu kawakosea nini?
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.Sasa hawa wapuuzi huyu bibi wa watu kawakosea nini?
Sasa hawa wapuuzi huyu bibi wa watu kawakosea nini?
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.
Haa haa haa! Maswali yako yamenichekesha, sidhani kama ataweza kujibu. Maybe alikuwa na hasira kidogo wakati akibonyeza keyboard. Hata hivyo nimeshangazwa alivyochukizwa na Al-Shabab kuitwa wapuuzi, sijui ni member! Kama si member tumuombee asije akajiunga huko, ni wapuuzi kweli kweli. Mtu unaweza kupoteza maisha bure na kuitesa familia yako shauri ya kujumuika na al-shabab!Ni nani mwenye kujua ukweli huo (uwe wa mema au mabaya) na kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili jamii ziufahamu??
Unampinga Obama at the same time unatukuza alivyowafanyizia hao viongozi wa Kenya, upi msimamo wako?
Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother
Uri Friedman – Thu May 12, 10:03 am ET
ABC News is reporting that Kenyan police are guarding the home of President Obama's step-grandmother in Kenya around the clock after al-Shabaab, a Somalia-based al-Qaeda affiliate, threatened her life. ABC learns that while security was added to Sarah Hussein Obama's house the day after bin Laden's death, the the number of officers has increased since al-Shabaab leveled its threat, to the point where there are now enough officers to patrol her entire village of Kogelo in West Kenya, according to one police chief.
In an interview with ABC, Obama's 88-year-old grandmother didn't seem particularly concerned, however. "My life has not been affected in any way," she said. "If the government has decided to bring more security personnel, we are OK with it."
Following ABC's report, CBS News got in touch with an "expert involved in security matters" at the U.S. embassy in Kenya, who told the news outlet that there is no new or credible threat against "Mama Sarah." CBS adds that "the al-Shabab threat may amount to little more than posturing. Al-Qaeda and its affiliates have issued numerous threats in the wake of bin Laden's killing, most of them broad threats of reprisal against the West and assertions of the groups' continuing relevancy."
Al-Qaeda Threatens Obama's Grandmother - Yahoo! News
Sasa hapo ndio umeandika nini? Wewe unajua dini yangu au basi tu ndio unakimbilia kuconclude kisa nina mawazo tofauti na wewe?Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya
kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika
ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya
hana.
pengine, labda dini yao inawaruhusu kufanya hivyo, maana kila wanapotenda uovu hudani dini/na mungu wao anaridhia
Mpuuzi ni wewe unayeamini kila ukisikiacho.Na upuuzi wako umechanganyika na chuki za uislamu ukawa wehu kabisa.
Habari za Alqaeda ni uwongo mwingi uliochanganywa na ukweli kidogo.
Dunia itafilisika kujadili vitu vya kijinga.Watu tuliodhani ni wasomi wanazidi kurudi katika ujinga.
Kenya nayo isijidai kulitukuza jina la Obama bure na kujitangaza,mwenyewe hana habari nao.Majuzi tu kawawekea ngumu viongozi wake kuingia nchini mwake.Obama hata azma ya kuja Kenya hana.
Nataraji ulikuwa unakusudia pale nilipoandika:Ni nani mwenye kujua ukweli huo (uwe wa mema au mabaya) na kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili jamii ziufahamu??
Unampinga Obama at the same time unatukuza alivyowafanyizia hao viongozi wa Kenya, upi msimamo wako?