Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Uongozi wa Al Nassr umethibitisha kuachana na kocha Stefeno Pioli pamoja na wasaidizi wake.
Pioli alijiunga na Al Nassr mwaka 2024, akikiongoza kikosi cha klabu hiyo kwenye michuano ya Ligi Kuu ya Saudia pamoja na Ligi ya Mabingwa Asia msimu wa 2024/25.
Hata hivyo taarifa kutoka Italia zinaeleza kuwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 59, amejiunga na klabu ya Fiorentina.
Uongozi wa Al Nassr umemtakia kila la kheri Pioli pamoja na wasiadizi wake katika majukumu yake mapya.