Al Jazeera yarusha Uchaguzi Tanzania

Al Jazeera yarusha Uchaguzi Tanzania

Status
Not open for further replies.
Sasa kipya ni kipi hapo? Jamiiforums inapatikana popote duniani na ishu zote ziliandikwa humu, so what? Kama mnataka huruma ya hao wanaowafadhili mmekwama mwaka huu, kumbe ndio maana mlikuwa mnakomaa JK avunje baraza la mawaziri ili mnayoyataka yawe eeh?

Ngoja tuapishe Rais kwanza, huko Zenji tutaamua pamoja na Serikali mpya iliyochaguliwa na Watu wa Jamhuri ya Muungano!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom