Al Jazeera yarusha Uchaguzi Tanzania

Al Jazeera yarusha Uchaguzi Tanzania

Status
Not open for further replies.

wirewizard1

Senior Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
160
Reaction score
26
Live sasa hivi naangalia Al Jazeera world news, wameonesha Malalamiko ya UKAWA kupitia Lowassa at the same tim Issue ya Zanzibar ya kufuta matokeo Imeripotiwa.

Al jazeera reporter CATHERINI SOI yuko Zanzibar kutoa habari.Madudu ya CCM sasa Dunia yote inajua sasa.SIO SIRI TENA.
 
kiujumla hili lililotokea zanzibar linatufanya sisi kama taifa tusitofautiane na rwanda au burundi kidemokrasia..
 
Kwani hao Aljazeera watabadilisha nini hata ulimwengu ukisikia?
 
itasaidia nini?....all in all..itategemea na interest ya wakubwa....
 
Demokrasia ya kuhubiri kwa mic.........dunia ss haitutofautishi na mseven.
 
me nachoomba NEC wahakki upya form za wakala bora tuchukue hata mwez mmoja mbele ila ukweli ujulikane maana mwisho wa siku ni aibu. ukijumlishakura zote zinazid zilizopigwa:eek2::eek2:
 
Kwani hao AL jazeeeeeeeeeera na dunia watafanya nini.....Wakafie mbele
 
we spend time to campaign
we spend time to vote
we spend time to wait for results
but few people few people spend just some minutes to twist the fact
eeeh Lord please do something so that people can understand that you are the LIVING GOD
 
Aljazeera has nothing to do, even if the whole world knows it won't change anything
 
"Matokeo ya rais hayatapingwa Mahakamani" - Katiba
Hii iliandikwa kwenye katiba ya mwaka 1977 wakati wa mfumo wa chama kimoja na radio pekee ilikuwa RTD na karatasi za uchaguzi zilikuwa hizi. Tafakari!
attachment.php

 
hili lilitokea Zanzibar limetufanya wa Zenj tuchanganyikiwe . Mwenye kiti wa tume amefuta matokeo , makamishna wa tume wamesema yale si maamuzi ya tume bali ya mtu binafsi .
 
me nachoomba NEC wahakki upya form za wakala bora tuchukue hata mwez mmoja mbele ila ukweli ujulikane maana mwisho wa siku ni aibu. ukijumlishakura zote zinazid zilizopigwa:eek2::eek2:

Hata hizo wana uwezo wa kuzichakachhhhh, japo kwa shida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom