Al jazeera kama tbc1 jionee mwenyewe!!

Ila afadhali ya Machel!! Ya TBC ni aibu na fedheha kubwa sana!
 
hizi ni typing error ambazo hata wewe huwa unazifanya ofisini
Siungi mkono hoja!
Unakoseaje kijinga hivyo...
Labda tuseme mwandishi alikuwa viroba sana wakati anaandika hivyo!
 
Aljazeera wao walijiunga na TBCCM kwa hiyo hawana kosa ni katika wysiwyg(what you see is what you get)
 
Lakini kweli huyu Graca anaweza kuwa mjukuu, aljazeera wamekosea kama ni wakiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…