Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Wabongo sie noma. Timu ishapita mnataka kocha achezeshe wachezaji wale wale wakiumia mtaanza kulalamika.
Shangaa!Wabongo sie noma. Timu ishapita mnataka kocha achezeshe wachezaji wale wale wakiumia mtaanza kulalamika.
Dakika ya ngapi mkuukizazi cha yuda
82Dakika ya ngapi mkuu
Tufungwe ngapi unataka