Akunti ya Dola CRDB

Akiba cmeircial bank.
Ninayo accouNt
Kila mwei wnakata dola moja.
Halkacharges mnyingine

Unaanza kuweka dola 100
 
crdb wapo poa wasikutishe hao, ninayo usd akaunt crdb kwahy najua yote.

taratibu:
kama una akaunt ya tsh tayari crdb unaandika tu barua kwa branch manager kwmb unataka ufungue akaunt ya usd/euro/paund .

kwa usd akaunt unaweka 100usd kama kifungua akaunt, kwa euro/pound unaweka 50usd.

baada ya hapo unapewa akaunt namba, na kama unataka atm card ya usd akaunt unajaza form na picha moja.

akaunt namba inakuwa kama ile ya tsh sema mwanzoni ndio tofauti, ya sh inaanza 015 au zamani 01J akaunt ya usd itaanza na 025 au 02J.

kama huna tsh akaunt nadhan unafungua usd akaunt kwa taratibu zlezle kama tsh, barua s/m, picha 2 na kopi ya id. au kama vp fungua ya tsh halafu akaunt ya usd unaiombea juu kwa juu.

makato ya saving tsh ni 1000/- kwa mwezi, makato ya usd wanakata 2.5 kwa mwezi. hakuna gharama nyngne zaid ya hapo.

kama upo dar kafungulie azikiwe sabab ni makato makuu, tatizo kwny akaunt likitokea huwa rahs kulisolve.

faida ya kufungulia akaunt crdb ni wing wa mataw , hvyo urahs wa kudeposit. but kama umepata bank nyngne ndogo umevutiwa nayo fungua manake crdb ni benk nzuri kinachokera ni foleni tu.

vilevile jaribu kwenda crdb bank ukaulize lbd taratibu zimebadlika au zpo the same.
 
Waje tu naanza na kama dola elfu 10 hivi

mkuu upo njema madolari alfu watu tunayaona kwny sinema tu, kama vp naomba nirushie ka dalari buku tu, akaunt yangu ya dalari nayo icheke! teh teh teh
 
Aisee hapo cna swali kaka nashukuru nitafanyia kazi ushauri wako.
 
mkuu upo njema madolari alfu watu tunayaona kwny sinema tu, kama vp naomba nirushie ka dalari buku tu, akaunt yangu ya dalari nayo icheke! teh teh teh
Mkuu usiogope ni promo tu humu kwi kwi kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…