Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Kivipi wewe mmasai? Una benki gani hiyo?zilete kwangu crdb wana makato sana
Sawa mkuu hebu nielimishe uzuri wao ni katika nini hasa?Equite bank kama uko dar ni nzuri kwa dolla
Kivipi wewe mmasai? Una benki gani hiyo?
Equite bank kama uko dar ni nzuri kwa dolla
Mmmm wewe utakuwa wale mabinti mabilionea wa Ki-Liberiapochi langu kubwa
ngoja wahusika wa masoko ya bank wakuchangamkie na ukitaka waje fasta fasta waambie unataka kuwekeza kiasi gani cha dola uone :smile-big:
pochi langu kubwa
Mmmm wewe utakuwa wale mabinti mabilionea wa Ki-Liberia
Asante sana projector Epson mie sio mfanyabishara ni kwa ajili ya mshahara tu kwa kazini.
sio kubwa lina hela kubwa lenye nafasi ya kuhifadhi hahahh
Nitumie CV yako kwanza..
Poa thankshahhaahh hata kazi ya kuhifadhi hela hadi cv mmh
ila mkuu sikushauridi CRdb wanakata sana jaribi hizo benk zingine
Waje tu naanza na kama dola elfu 10 hivi
US Dollarsdola elfu 10 za Zimbabwe au? :A S 13: