Aksante Rais Magufuli Tumejua Mengi

mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,446
988
MAMBO KUMI ( 10 ) NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA MAGUFURI
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
11)Unga unaweza kuwa anasa kuliko Mchele
AHSANTE MAGUFURI UMENIFUNZA MENGI..
 
Lizabon Faiza foxy pohamba laki si pesa Gentamycine na yule nan hiii njoo huku
 
13. Watu wanaweza kunywa pombe za kienyeji badala ya bia.
15.Wakina dada wanajua kukumbuka watu na kuwanyenyekea kipindi cha njaa kali
 
  • Thanks
Reactions: 247
bado tu kuwajua waganga wanaotibu umasikini sugu...
Mkuu Kipindi hiki waganga wanapiga sana hela.mtu akiona mambo yake magumu anahisi amelogwa.badala ya kutafuta financial advisor anakimbilia kwa wataalam wa sayansi mbadala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom