Bwana mdogo, huyu mtu umemlea hivyo, mtoto umleavyo.............. umemlea hivyo na inaonyesha anakudharau sana, na wala hakufai kuendelea kuwa naye, ni mjinga sana. Sasa shida utakayopata kwa malezi hayo andaa nguvu ya kutosha. Nenda kanisani ukasaidiwe na watumishi wa Mungu kabla mambo yako hajawa mabaya. Tafadhali fanya hivyo.*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
*Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:
* kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"
*Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....sms 2 ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi
*Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?
#Naombeni mniambie, na kufafanua haya.
Asanteni sana
*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
*Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:
* kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"
*Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....sms 2 ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi
*Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?
#Naombeni mniambie, na kufafanua haya.
Asanteni sana
huyo hana lolote
kuna harufu ya kausaliti hapo!
anakupumbaza kiaina!pole!