Kijana wangu Mpendwa, Wazee wetu walisema hivi "dalili ya mvua ni mawingu" kamwe haiwezi kuwa jua.....kwa hali hiii niionayo hapa kwa umri wangu huu lazima hapa ukubali kuliwa, kinachofanyika hapa ni kupima reaction yako kabla ya ku-break news, not that much longer from now utasikia kubwa zaidi.
Hapa kuna karata nying either anakwambia hvyo akimaanisha au anakwambia ili ajue mtazam wako kwamb una react au vp,au anafanya hvyo kama kujilinda endapo uonapo yupo na kijana ujue kuwa alinambia il ucmind a t kumulza hvyo kuendelea na anchotaka,pia kumbk cie twaweza xema meng na yeye akawa na htimisho la haya 2yasemayo!!!
Mkuu nahisi anakuambia wale anaowakataa,lakini anaowakubali hakwambii!
Mwambie kuwa wewe hutajali hata mkiwa watano...kwa hiyo aendelee tu na ausikilize moyo wake ....na pumzi yake, kama anaweza kumiliki team nzima ya mpira....!!
BTW, mna umri gani?
Babu DC!!
hii ni sawa kabisa.......Mkuu nahisi anakuambia wale anaowakataa,lakini anaowakubali hakwambii!
anakurusha ROHO 2 HUYOO...hamna cha X wala makande yake.