Hili liko wazi
Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa
Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi mwanaharakati na muasisi wa uhuru wa Tanganyika.
Mchengerwa amehudumu kama mbunge wa Rufiji na Waziri katika wizara nyingi ambapo amepata uzoefu
Kila la heri kijukuu cha Bibi Titi Mohamed