Wakuu msaada wenu unahitajika.
Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri.
Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT.
Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya IT na kupata admission.
Na je mfano akisoma HGL anaweza soma bachelor ya IT?
Natanguliza shukrani kwa mtakaonijibu.