Akipitishwa Lowassa,itakuwa utata

Akipitishwa Lowassa,itakuwa utata

Lowasa hauziki kwako lakini kwa Watanzania anauzika,Acha unafiki wako wewe mchumia tumbo wa Ufipa

MNAFIKI NI WEWE laki si pesa, UYU NGULI PIA GWIJI LA UFISADI HALIUZIKI,
TUNACHOJUA ANAUZIKA KWA NYIE WACHUMIA PIA MNAOTUMIA MATUMBO YENU KUFANYA MAAMUZI PIA MNAOPATA MKATE WENU WA KILA SIKU KUTOKANA NA WIZI WAKE,
 
VUTA - NKUVUTE njaa imeshatafuna ubongo wako wote, huna uwezo tena wa kufikiri.
 
Mzee Tupatupa msalimie Mako hapo Tabora.
 
Tunaomba Usiku Na Mchana Watupitishie Huyu Mamvi Tutapiga Dable Atakosa Urais Na Huku Pesa Alizoiba Atakuwa Ameludisha Kidogo Kwa Wananchi Kwa Kuwahonga, Huku Tukiwa Na Kauli Mbiu Ileile Kula Ccm Kulala Ukawa.
 
Wewe ni mwehu umetumwa
 
Tunaomba Usiku Na Mchana Watupitishie Huyu Mamvi Tutapiga Dable Atakosa Urais Na Huku Pesa Alizoiba Atakuwa Ameludisha Kidogo Kwa Wananchi Kwa Kuwahonga, Huku Tukiwa Na Kauli Mbiu Ileile Kula Ccm Kulala Ukawa.

Kwa hiyo na za Kivuko kibovu,Train na Dreamliner tutarudishiwa 2020?
 
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
Mzee tupatupa mmeaibisha sana siasa za upinzani Tanzania .....hamtasonga mbele bila kusafisha hii taswira ....hata mruke ngoma vipi ....kazi hii lazima siku moja muiweke sawa ili muaminike tena ....
 
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
Unafki ni hatari kuliko Uchawi.

Upinzani wa Nchi hii hauna hoja wala Mamlaka ya kukemea ovu lolote.

Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom