FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.
Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?
Huna ugonjwa wowote ndio urijali huo...inatokea kwasababu hujado siku nyingi bila shaka umemiss mkeo....hongera kwa kuwa muaminifu kwa mkeo..Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.
Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?
Chezeya kupenda weye!!!! Sauti tu inamtoa nyoka pangoni kabla hata ya kuguswa.
Ndo raha ya kuoa/ olewa na anaekupenda kweli .
Hujambo Mr DJ... Lol
Niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Nawe ukoje? Hujarusha lile dege kubwa leo 🙂🙂...Ni BAK pilot hilo la DJ achana nalo banaaa 🙂🙂
Ndo raha ya kuoa/ olewa na anaekupenda kweli .
Hujambo Mr DJ... Lol
Ukameeeeeee....mwambie asipige ukiwa kazini
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.
Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?
Ndiyo maana serikali inaliingiza somo la biolojia kwenye masomo ya lazima lakini bado kuna watu wakiwa masomoni wanalikimbia. Matokeo yake ndiyo haya kuja kuaibika ukubwani mbele za watu.Nimerudia kusoma weeeeeeeeeeeeeeeee , nataka nijue una umri gani? Maana swali lako sidhani kama mtu wa over 20 years atauliza!!!!!!! Dah, yaani hujaweza hata kupata elimu ya mahusiano kati ya wawili wapendanao? Hujawahi hata kusikia inatokea kitu gani kama mwanaume au mwanamke alyepevuka kukaa muda mrefu bila sex? Hujawahi hata kujua kama mke au mume wako hamhakutana muda mrefu siku mtakayokutana ni lazima utagundua kama kulikuwa na kawizi au la? Yaani wewe nitafute nikupe somo. Pole sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!