MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
kuna binti moja nnasoma naye kwangu anakila sifa za kuwa mwenza wangu wa maisha bt nakosa pozi kabisa la kumtokea nawza kaa akinitosa itakuwaje, napata wakati mgumu sana kila nnapo waza juu ya hili, tunaheshimiana kama kaka na dada na yeyey kiukweli anajiheshimu sana, naombeni msaada jamani wana MMU
kila nikitaka kufanya kitu naona kama anabadilika kabisa cjui nawaza endapo ataniambia anamtu ahkah cjui itakuweje mm
kuna binti moja nnasoma naye kwangu anakila sifa za kuwa mwenza wangu wa maisha bt nakosa pozi kabisa la kumtokea nawza kaa akinitosa itakuwaje, napata wakati mgumu sana kila nnapo waza juu ya hili, tunaheshimiana kama kaka na dada na yeyey kiukweli anajiheshimu sana, naombeni msaada jamani wana MMU
kwani ww SUMU unajua mimi nna umri gani mpaka uniambie nisome kwanza nimesha pambana sna mapka sahv niko chuo kikuu nadhani ni wakati muafaka kabisa am 25 nna uwezo wangu kiasi kwamba nnaweza kuendesha maisha yangu ya wadogo zangu nnaona bdo kunauwezo wa kummudu mtu mwingine mmoja thats y nna mwaka wa kwanza GPA ilikuwa 4.2 inanitosha san bdo nnuwezo kwa kuipandisha so masomo kwangu cyo shida
Yaani badala ya kusoma umetawaliwa na ngono, hebu soma'halafu hizi sshule zinafunguliwa lining?????????
Yaani badala ya kusoma umetawaliwa na ngono, hebu soma'halafu hizi sshule zinafunguliwa lining?????????