Ifanda
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 276
- 262
Twende pm kuna jambo
Poah
Poah
Kila lakheri, ila mkishindwana huko msirudi hapa[emoji23][emoji23]Twende pm kuna jambo
Kila lakheri, ila mkishindwana huko msirudi hapa[emoji23][emoji23]
Njoo nakisubirTwende pm kuna jambo
Kila lakheri, ila mkishindwana huko msirudi hapa[emoji23][emoji23]
eti EnhheMkuu nikushauri baki na huyo mwanamke , anajielewa na yuko tayari kupitia magumu yoyote nawe, ukimpiga chini usije ukaturudia hapa ukilialia
Ndo hivyo mkuu wapo wanaonyimwa , yaani kupewa k hadi aililie sana na bado ataambiwa fanya upesi nina haraka, duniabya sasa ukipata mtu akakujali mshikirie haswa