Akinadada Kwani Lazima Tuwaowe!?

Akinadada Kwani Lazima Tuwaowe!?

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,435
Kweli dada zetu saivi mnakaba si mchezo.

Tatizo ni nini hasa. ni kwamba vyuma vimekaza au ni kitu gan hasa?

Kuna bidada nilikuwa namtafutia sababu nimpige chini.

Siku hiyo bwana nimejipanga mwenyewe nikampigia najifanya mwenyewe nina kauzuni ka hapa na pale.

Akahoji imekuwaje "my?" Mi nikamjibu huku nazuga nina bonge la huzuni ...daah nimetoka kupima nimeambiwa nimeungua....

Katika hali ya kushangaza nikamsikia anacheka sana upande wa pili hlf akapozi kidogo na kusema "...hivi wewe unafikiri ukiniambia hivo mi ndo nitaogopa...?"

Akaendelea ".....Kwanza siku hizi huo ni kama mafua, una dawa huo...ukowapi kwanza njoo huku..."

Mzee niliishiwa pozi.
 
Back
Top Bottom