Akina mangi na shilingi usipime

Rashdind

Senior Member
Jul 19, 2011
194
60
Mangi mmoja muuza vyepe alitoa mpya ya mwaka baada kutaka kudanja kwa kuendekeza pesa na msos anao, unajua ilikuaje... IKO HIV.......
Mangi kijiweni kwake anauza vyepe mara njaa ikaanza kumuuma akasema nkiepua ivyi vyepe nipige plate 1 fasta niendelee na mzigo wateja kibao mangi akakosa vyepe akasema sio issue nikiepua tena napiga plate 1 ikawa the same akakosa vyepe akavumilia ila cha kusikitisha mchezo ukaendelea ivyo mpaka usiku wa manane toka mchana mangi njaa ikamzidi na pesa anaitaman akajikuta anazid kujipa ahad feki mpaka pale alipoishiwa nguvu na kudondoka chini wasamalia wema walimpompeleka hospitali ikagundulika hakua na tatizo lingine bali ni njaa ya muda mrefu waliompeleka wakasema doctor atakua kasomea china coz anawadanganya haiwezekani jamaa auze msos alafu adondoke kwa njaa lkn mwenyewe alipopata nafuu na kuthibitisha kua hakupata msos kwa siku nzima watu hawakuamini na kubaki hoi bila mbavu uku wakimtaka radhi yule doctor.
 
Kuna jamaa zangu wanabukua china sasa hii itawakwaza kweli teh teh teh
 
Mnajua kua hilo neno mangi manake ni "mfalme"!!
acha hixzi vicha kabisa!!
 
Haya chimbonyi chavo ngakubali va shaka bana kwete majotro kwi ndiyo maana hauelewi nilicho andika
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom