Si atakuwa ananiambia niongeze vidumu!Uzuri wa hayo maneno yanawahusu wamama na wababa pia....
hebu imagine Erickb52 ndo unayasoma, halafu kanga kaivaa mkeo, unapata msg gani?
cc. watu8, C6 Baba V, englibertm, Mtoto halali na hela
Bishanga hana jeuriHahahahah ngoja akusikie Bishanga kuwa mkewe ndio mlinzi wa mali zako
Hahahahaaa
Mi ninacho cha akiba ambacho nimemuachia The secretary anitunzie
Nasikia wewe ndio ulikuwa unaitumua sana wakati Bishanga yuko Arusha
Uzuri wa hayo maneno yanawahusu wamama na wababa pia....
hebu imagine Erickb52 ndo unayasoma, halafu kanga kaivaa mkeo, unapata msg gani?
cc. watu8, C6 Baba V, englibertm, Mtoto halali na hela
Unajifanya baba mchungaaaaaji lol
mi nataka kuongeza wa saba ambaye ni Mrembo by Nature
Hahaha we ongeza tu labda mwenzangu una vifanyio kama vidole vya mkono...
Mwenzako ninacho kimoja tuuuu!!!
Si atakuwa ananiambia niongeze vidumu!
Au sijaelewa?
Yan km kaivaa Chocs ina maana anataka nimwongeze Mrembo by Nature na wenzake
nilishaikata nikaichoma mishikaki Chocs akajisevia
kitu yenyewe imechacha