englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Lol....Hii kiboko
Bora weye uliye mwenyewe...vitamu vyote wala peke yako kwa nafasi.
Love uuuuu!!!
Ale peke yake kwani imekuwa sumu hiyo? Sharing is caring bwana hebu acheni kufundishana uchoyo.
Kila tundu la kitasa lina ufunguo wake...
Ukiona funguo yachokora matundu mengi, waungwana kuna jina wameipa...
Unajifanya baba mchungaaaaaji lol
mi nataka kuongeza wa saba ambaye ni Mrembo by Nature
Unajifanya baba mchungaaaaaji lol
mi nataka kuongeza wa saba ambaye ni Mrembo by Nature
HahahahaaaHahaha we ongeza tu labda mwenzangu una vifanyio kama vidole vya mkono...
Mwenzako ninacho kimoja tuuuu!!!
Hahahahaaa
Mi ninacho cha akiba ambacho nimemuachia The secretary anitunzie