Mkuu kumbe umeona eeh?Kwa nn akina mama mpo hivi?
Unakuta kwenye daladala mama amepanda ana mtoto mchanga seat za karibu kuna akina mama utakuta wameuchunaaaaaaa kumwachia seat au kumpokea mtoto kimyaaaaa mpaka sisi wababa nyumba tusimame kumpisha akina mama kwa nn mna roho mbaya jamani??
Hata kwa wajawazito huwa mnafanya hivi hivi. Kwa nn jamani?
Hata bar ukienda na mwanamke tu kosa huduma unapata mbovu kwa nn akina mama hivyo?
Kwa nn akina mama mpo hivi?

Hapo kwenye red,huu ujinga wa asili unaouzungumzia ni wa namna gani?Tabia za ajabu unazozizungumzia hapa ni kwa wale wanaojuana,je kwa wale ambao mnakutana kwa mara ya kwanza na ikatokea kutopendana,unalizungumziaje hili?Mwaka huu kazi tunayo,kwanza si wanawake wote wako hivyo,ni wale wenye ujinga wa asili ndo huchukia wenzao bila sababu au wenye malengo yao binafsi na hao wanaowachukia au waliofuatana nao kama hiyo kesi ya baa,unakuta mtu anamtaka yule mwanaume aliyeko na yule mwanamke so akiona wamnyima riziki anauchuna.........
Pili si wote wenye jinsia ya kike tumenyimwa roho safi kwa wanawake wenzetu,ila kwenye issue kama hiyo ya daladala yawezekana wale wamama hawasimami kwa kuwa labda nao wamechoka au wanaumwa au wametembea umbali mrefu sana kufika hapo......kwenye suala la manesi wale nao ni binadamu,wanachoka na wanakutana na mengi,kwa hiyo unakuta ana-behave vile kwasababu za shida zake si kwa kuwa yule ni mwanamke mwenzie.
Tatu,kuna wanawake wana tabia za ajabu ndo maana wanawake wenzao hawawapendi kama umbeya,fitna,wivu,kutokusaidiana na wenzio,kujiona bora sana au mzuri mno,kupenda wanaume wa wenzio,kutokujiheshimu etc etc there is always a reason behind!
Hapo kwenye red,huu ujinga wa asili unaouzungumzia ni wa namna gani?Tabia za ajabu unazozizungumzia hapa ni kwa wale wanaojuana,je kwa wale ambao mnakutana kwa mara ya kwanza na ikatokea kutopendana,unalizungumziaje hili?
Ni kweli wakinamama sometimes hawapendani lakini hili la daladala nakataa, utakuta mtu anaona kabisa gari imejaa lakini anapanda hivyo hivyo na mtoto wake/watoto wake. Kunyanyuka siwezi kwani na mimi nakua nimechoka tena nimechoka hasa cha kufanya naweza mpokea mtoto kama ni msafi maana wengine sio wasafi kabisa anapanda na mtoto ananuka mikojo + mchafu hadi kero huyu atanisamehe mwingine anazaa kama anatenda unakuta wa kwanza anamiaka 3, wapili 2, watatu kambeba mgongoni na anapanda daladala lililojaa aku mwenzangu kuna mambo mengine mwatuonea wakinamama kwani wanajitakia wenyewe
Na wenyewe wanakua wamechoka!!Hiyo baa ni chuki ya kawaida tu..we unadhani kama muhudumu amekua akikumendea atamchekea anaepata kweli!!Hapo kwenye maendeleo inakua ni wivu tu unawasumbua...ukiskia mtu anasema fulani anajifanya kasoma sana..mara sijui ana pesa ujue anatamani na yeye angekua hivyo!Au hiyo bahati ingekua yake na sio ya yule!
ubinadamu kazi...?!!!Kwa nn akina mama mpo hivi?
Unakuta kwenye daladala mama amepanda ana mtoto mchanga seat za karibu kuna akina mama utakuta wameuchunaaaaaaa kumwachia seat au kumpokea mtoto kimyaaaaa mpaka sisi wababa nyumba tusimame kumpisha akina mama kwa nn mna roho mbaya jamani??
Hata kwa wajawazito huwa mnafanya hivi hivi. Kwa nn jamani?
Hata bar ukienda na mwanamke tu kosa huduma unapata mbovu kwa nn akina mama hivyo?
mi nakubali na kukataa kidogo,.hata wanaume inatokea,.ikitokea ishu ya boss mwanaume(mfno wa kazini)guys might say we msichana nenda atakubali tu..and it happens inakua rahisi for men to get into a conscience with women and the viceversa is true..wanaume wangapi wanasimama mbabu akiingia kwenye gari jamani?.hadi imefikia hatua ukiona sehemu ina mhudumu wa kike(if you are a woman)unamsukumizia boyfriend,kakaako,etc.Kwa nn akina mama mpo hivi?
Unakuta kwenye daladala mama amepanda ana mtoto mchanga seat za karibu kuna akina mama utakuta wameuchunaaaaaaa kumwachia seat au kumpokea mtoto kimyaaaaa mpaka sisi wababa nyumba tusimame kumpisha akina mama kwa nn mna roho mbaya jamani??
Hata kwa wajawazito huwa mnafanya hivi hivi. Kwa nn jamani?
Hata bar ukienda na mwanamke tu kosa huduma unapata mbovu kwa nn akina mama hivyo?
Ukweli unabaki pale pale kuwa wanawake hampendani na hii husababisha kutothaminiana ninyi kwa ninyi.